TAFRIJA! “Mavuno ni mengi,lakini wavunaji ni wachache.Kwa hivyo - TopicsExpress



          

TAFRIJA! “Mavuno ni mengi,lakini wavunaji ni wachache.Kwa hivyo mwombeni mwenye shamba atume wavunaji shambani mwake”……..Nimekusalima ndugu abiria mwenzangu.Habari yako? Yangu Mc Judy ni poa kabisa. Karibu sana katika gari la Yesu Alhamisi ya leo tubarikiwe,tujuliane hali na kuchangamka pamoja kuanzia sasa hivi hadi saa kumi kamili. Leo kama tulivyokubaliana jana,tuma zako kwa watu watano,kisha ile kwaya ambayo haijasikika wiki hii katika gari letu,itaje tuwachomoe chini ya viti tumwimbie Mungu wetu pamoja.
Posted on: Thu, 03 Oct 2013 08:58:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015