Ticha katangaza test ya imla. Akatoa Masharti; Ukiandika jibu - TopicsExpress



          

Ticha katangaza test ya imla. Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hakuna kufuta wala kukata. Swali la kwanza: Taja vyakula vi3 ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula? (marks 1%) WANAUME wakajaza; wali, ugali, mihogo. WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop. Swali la 2: Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu. (marks 99%) wacha wadada waanze kuhangaika kukata majibu ya mwanzo... chezea wewe maisha yenyewe ya tandale burger yenyewe hujawah kuila kupika utaijulia wapi?
Posted on: Tue, 03 Dec 2013 08:10:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015