Toka naiona Dunia niliahidiwa ushindi haijalishi mimi ni mwanamke - TopicsExpress



          

Toka naiona Dunia niliahidiwa ushindi haijalishi mimi ni mwanamke na wewe ni mwanaume kwani kuwa mwanaume ndo sababu ya mimi kuwa chini yako? Sahau hilo tena usishangae nikawa juu yako ni mipango na ratiba tu, naamin wote tuko sawa ingekuwa kuna tofauti hata darasa wangetenga ila darasa moja mwalimu mmoja mtihani mmoja so jipange wewe shikilia mimi mwanaume mimi yuleeeeeeeeeeeee nasonga na yangu utabaki kapitia wapi nimepita hapo hapo na ulinona acheni ujinga jitumeni,
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 11:34:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015