"Top 10 ya kauli zenye changamoto TANZANIA. 1.Mtakula nyasi ndege - TopicsExpress



          

"Top 10 ya kauli zenye changamoto TANZANIA. 1.Mtakula nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe-Mramba 2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora-JK 3.Acheni wivu wa kike-Msekwa 4.Asiyeweza kulipa nauli apige mbizi-Magufuli 5.Baada ya kutumia Helikopta ya Jeshi kwenda nayo Urambo, "mlitaka nipande punda?Z"-Kapuya 6.Wabunge wa Dar wanafikiria Kwa kutumia makalio-Masabuli 7.Ukitaka kula lazima uliwe-JK 8.Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua-Wasira 9.Kila mwananchi atabeba msalaba wake-Mkulo 10.Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao-JK!" NYINGINE NI ZIPI?
Posted on: Mon, 15 Jul 2013 15:18:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015