Tulikuwa tunasafir kwa gar binafs kufika sehem flan kuna kapori - TopicsExpress



          

Tulikuwa tunasafir kwa gar binafs kufika sehem flan kuna kapori pori ivi,ghafla likachomoza mbio mbio jamaa flan ivi li baunsa limejaa kinoma evander cha mtoto lipo uchi kaptura mkononi,he!!!! dereva akafunga breki kutaka kujua kulikon jamaa likaja mbio had pale kwny huku linahema vibaya likaanza kusema duh wale jamaa wajinga sana yan mngechelewa kufika hapa wangenibaka wote,hata ivo wamefanikiwa wawili tu tena kwa mbinde kishenzi........
Posted on: Wed, 23 Oct 2013 09:32:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015