UCHIZI wa MAPENZI [TWICE GIRLS] MTUNZI: Adams j Maryo - TopicsExpress



          

UCHIZI wa MAPENZI [TWICE GIRLS] MTUNZI: Adams j Maryo jr morogoro sehemu ya 13 *** ILIPOISHIA.. Mimi nilikuwa nataka kuingia chumbani nika sikia sauti ya Rose akiongea chriss, mshenzi. ENDELEA SASA.. Candy yupo hapa leo hatoki mimi nipo free vip tutaonana yes nipo nyumbani waweza kuja hapana nyumbani kwako siwezi kuja naogopa kufumaniwa na mke mwenzangu sina mke wala mpenzi njoo tu kwanza sipajui nyumbani kwako njoo k/chandege kwenye bar ya mk ukifikahapo nipigie simu takufuata ok naja sasa hivi chriss Niliingia chumbani nika simama mlangoni huku niki mwangalia Rose kwa hasira sana ndugu yangu Rose nakupenda sana pacha wangu nadhani unajuwa jinsi gani navyo kupenda lakini sasa unataka nikuchukie pia uwe adui yangu kisa wanaume ambao ni Rafiki zangu mimi, hivi mbona uliolewa mimi sikuweza kumkashifu shemeje japo alikuwa mfufi sana pia sijawahi kumtamani luka Rafiki yako Rose kama una mpenda chriss basi mchukuwe tu mana mimi siyo mpenzi wangu siyo una nitusi na kuni shusha hadhi yangu kwa jamaa yako najuwa umenizidi urembo ok sipendi pia najuwa mambo yote ambayo ulikuwa una chat naekwenye Tango mpaka picha za Adams mpenzi wangu eti ume tuma kwa Chriss ili iweje Rose hakunijibu zaidi ya kuchukuwa mkoba wake na funguo ya gari na kuondoka zake. Hazikupita dk20 nika pokea simu hallo nani kamanda john hapa tume pata namba zako kwenye simu ya mzee Mussa akiwa na mke wake wakiwa na gari yenye Rangi ya blue bahari wakiwa wame kufa kwakupata ajari inje kidogo na Tanga sasa nadhani wewe na mtoto wao je kuna ndugu zako kalibu Nili jikuta niki dondoka chini na simu ikidondoka pembeni kwambali sana nilisikia sauti ya mfanyakazi wetu akiniita candy candy huku ana piga kelele ambazo zilizo mshtuwa mlinzi inje aliye ingia ndani nakuanza kuni pepea huku wakinimwagia maji mwilini simu yangu ika ita tena ndipo akapokea mlinzi na kupewa Taarifa hizo za msiba wa baba na mama nilianza kupata fahamu maada ya dk14 nili anza kupepesa macho yangu hukuniki jishangaa nipo kitandani huku nguo zangu zikiwa mbichi nili hisi maumivu kichwani kumbe nilipodondoka niliangukia kichwa nilijiuliza nime patwa na nini kumbukumbu zili hama mbona nilikuwa inje ndani nimeingiaje sikupata jibu kabisa kumbukumbu zika anza kunijia kidogo simu yangu iko wapi niliinuka taratibu hukunikitoka inje niliwakuta sebuleni mlinzi na dada wakazi mlinzi alikuwa akipiga simu dada wakazi nilimuona akiwaanatokwa na machozi akiwahana Furaha moyo wangu uka shtuka nakuludisha kumbukumbu nyuma (Nilipokea simu iliyo nipa ujumbe kuwa baba na mama wamekufa kwa ajari) Nili kaza moyo Kaka samahani una piga simu kwa nani kwa Rose hapokei simu najuwa hapokei kwa nini achana naye nilichukuwa simu na kupiga kwa baba mdogo mbeya na Arusha pamoja na mwanza kwa ndugu wengine walio kuwepo mikoani kuwajulisha msiba huo wa kutishasana moyoni nilikuwa na umia sana sikuwa na jinsi ya kufanya Nika piga kwa bibi Mgeta pia nilicho kosea kumwambia Bibi moja kwa moja kuhusu kufa kwa wazazi wangu wote Bibi alikuwa na BP ya kupanda ayaaah siku sikia sauti yake tena nilikata simu na kupigatena nilisikia sauti ya mjomba msimbe candy ume mwambia nini mama kwani kuna nini bibi yako kadondoka kapoteza fahamu Nikuhusu msiba msiba wa nani Baba na mama wame kufa kwa ajari ya gari nilisikia sauti ya kilio kutoka kwa mjomba msimbe nilikata simu huku nikielekea katika kijiwe cha boda boda ili nikakodishe inipeleke nyumbani kwa chriss ili nikampe taarifa za msiba Rose nikiwa njiani nilipokea simu kutoka mgeta kuwa bibi naye kafa nilijikuta na ishiwa nguvu nikishindwa kutembea kabisa nilikuwa nalia huku niki tambaa kuelekea kwa chriss Dada mbona hivyo una tatizo gani kuna kaka mmoja aliniuliza sikuwa na time za kumjibu alizidi kuniuliza dada mbona hivyo naomba nikupe msaada Nili kaa chini huku nikimwangalia yule kaka ambaye nilimkumbuka ni Mangi muuza chipsi kaka angu mangi na matatizo sikidogo natakanifike pale kwenye pikipiki ili wanipeleke sehemu Mimi ninayo ile pale naweza kukusaidia tashukulu sana ok Mangi alichukuwa pikipiki nakumwambia kuwa naenda kiwanja cha ndege aliendesha huku niki mkumbatia kiunoni mwake ili nisidondoke nilikuwa nikimwelekeza mpaka tukafika nyumbani kwa chriss kwakuwa nilisha fika kwakwe nilibisha hodi getini hapakuwa na mlinzi nika ingia mpaka ndani sebuleni nilikuta Rose na Chriss wakifanya mapenzi nili bakia nime duwaa kama sanamu nilijikuta niki sogelea mpaka pale kwenye sofa na kumpiga Rose kofi pumbavu sana wewe mwanamke mwanamke gani ambaye hujiheshimu yani mara ya kwanza kukutana na mwanaume na kuto... Haya sasa busara zako ziko wapi yani una mtetemekea mwanaume mwenye mali nasiyo heshima niliongea kwa uchungu sana huku nikilia sana Moyo wangu nilihisi unachomoka kwa hasira na machungu Rose akanikaba shingoni huku akinipiga ngumi chriss aka amulia candy nini TUKUTANE JUMA TANO KESHO ITAKUWEPO :Nguvu za mapigano mimba ya jini saa3. share like comment like page Maumivu ya mapenzi yana tesa
Posted on: Mon, 26 May 2014 14:13:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015