"UGENI" si kwenda kutembea kwa ndugu zako."UGENI" si kwenda - TopicsExpress



          

"UGENI" si kwenda kutembea kwa ndugu zako."UGENI" si kwenda Ulaya. Dubai. China. India wala America. Kwani huko kote utakutana na "BINAADAMU" kama wewe. Bali "UGENI" ni "KABURIN" ambapo utakutana na "VIUMBE" wengine kabisa tena usio wajua, utakua peke yako. Je nani atakupokea? Ni kipi kitakusaidia? Je umejiandalia nini ugenini ? Isikuhadae "DUNIA".Hakika huo ndio"UGENI". Safari isiyo shaka."MAUTI" ni FARADHI..! kumbuka KILA NAFSI ITAONJA KIFO.
Posted on: Mon, 23 Sep 2013 03:02:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015