UHURU KENYATTA-"Haiwezekani Ruto ako nje na Uhuru ako - TopicsExpress



          

UHURU KENYATTA-"Haiwezekani Ruto ako nje na Uhuru ako nje,haiwezekani! Ruto akiwa nje Uhuru amekalilia kiti. Tunaelewana? Tunaelewana..? Uhuru akiwa nje Ruto amekalia kiti...tunaelewana? ....Serikali iko imara na hakuna vacuum yeyote. Wale wanataka kuongoza kupitia mlango wa nyuma waambiwe hatuogopi. Tutaongoza nchi na tuende huko Hague. Lakini wajue hata sisi tuko na katiba yetu." end quote. Hague should not hold both cases at one time. Otherwise rais Uhuru hataenda...
Posted on: Sun, 08 Sep 2013 18:25:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015