UJUBE WA LEO 8/8/2013 ALHAMISI .........Neema ya Bwana wetu Yesu - TopicsExpress



          

UJUBE WA LEO 8/8/2013 ALHAMISI .........Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, .........Na Upendo wa Mungu baba, .........Na ushirika wa roho mtakatifu, .........Ukae nasi sote, .........sasa na hata milele , .........Amina. Neema ya Yesu Kristo inakusaidia kukupatia mahitaji yako -kwa neema tu sio kwamba tumestahili ila kwaupendeleo wake. Upendo wa mungu ni mkuu anayesha mvua anawasha Jua kwa wema na wabaya ni upendo tu- mangapi umemkosea Mungu na wala hakukuumbua - hebu kumbuka ile dhambi uliyofanya--kakuona na kakuacha tu.... Ni upendo mkuu- Hebu ona ALIKUFA MSALABANI --hebu jiulize ukute kibaka anataka kuuwawa -- wewe useme hapana mimi niueni kwa niaba yake.Utakubali -- au utasema shauri yake. Ushirika wa roho mtakatifu ni muhimu-- anatuombea kwa Mungu,anatuongoza --anatufunulia yaliyo sirini.....faida tupu ukiwa naye ni kama four wheel katika matope ukikwama unaitumia ukiikosa umenasa. Je unaye ? kama huna utakwama sana. Omba /jitakase ili ufaidi maombi haya.
Posted on: Thu, 08 Aug 2013 05:32:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015