((((((((( UJUMBE WA LEO 111))))))))))) .....Kuna mademu wengine - TopicsExpress



          

((((((((( UJUMBE WA LEO 111))))))))))) .....Kuna mademu wengine akikuambia anakuja gheto hadi mtu unaruka ruka kwa furaha unatamani afike fasta Utakuta kaja na mazaga zaga kibao mfano juice,clipsi,matunda na mazaga mengine kibao yan hawezi kuja gheto bila mazawadi Hapo akija akikuta gheto pako ovyo atafanya usafi wa nguvu anatandika vitanda poa kma kuna nguo chafu anafua zote Hapo ataenda gengeni... atanunua vitu vya kupika atapika msosi wa nguvu hata kma upo na masela wako mnakula mnafurahi wanaona kweli wana shemeji akishamaliza hapo ndo mnakaa mnapumzika full mastory na kupeana mambo matamu hadi akiaga anaondoka unatamani ulie unatamani kila siku awe anakuja Sio lidemu linakuja gheto anakuta kuchafu yy anajilaza tu cha kwanza utaskia"bby nna njaa kaninunulie chips na soda" hapo kaja hata pipi ya 200 hajakuletea Anakuta minguo michafu mashuka machafu mavyombo machafu hata mda nayo anakuwa hana Hapo mtafanya mambo ya wakubwa mkimaliza ataacha hvo hvo na atasepa yan unakuwa na demu hata ujawahi onja msosi wake duu huyo hata ukimuacha huwezi kummic....BADILIKENI [umeipenda? bonyeza "LIKE", kisha "SHARE" na marafiki , Aliye nunaa akumbukee....Mjumbe HaBLOCKIWI.... ]
Posted on: Thu, 11 Jul 2013 16:31:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015