UPANDE WA FILAMU Filamu mpya imetoka ikiwa inaelezea maisha yote ya aliyekuwa Raisi wa south Africa na mtetezi mkubwa wa Ubaguzi wa rangi ndugu #Nelson Mandela(Mandiba). Filamu hiyo imechezwa na mwingireza anayeonekana kama #Mandela mwenyewe huku ikiwashirikisha mastaa kibao wa south Africa Inaripotiwa hiyo Filamu imechukua miaka 25 kurekodiwa na kukamilika. Swali langu...........!!!!!!!!!???????? Hivi kwa bongo filamu zinachukua mda gani!!??????
Posted on: Thu, 19 Sep 2013 08:37:53 +0000
Trending Topics
Recently Viewed Topics
© 2015