UTAJUAJE MLUHYA AMEINGIA #NAIROBI? 1.anakuja kama amebeba bag - TopicsExpress



          

UTAJUAJE MLUHYA AMEINGIA #NAIROBI? 1.anakuja kama amebeba bag mrefu kama Geneza na imejaa vumbi jamaani 2. Bag yenyewe ukifungua, hehe halaiki ya mende zinatoka kwa bag yawa 3. Alafu bag yenyewe ni self contained, imebeba mpaka mahindi nusu gunia 4.akipita karibu na building imechorwa advert Ya JOGOO UNGA flour, anasmile yakeyote 5. Ukimpigia simu umuulize, uko wapi anajibu hivi sana sana kanti, niko hapa karipu na tuka imepakwa kurin (green) imeandikwa Mpesa, karibu na duka imeandikwa TECNO. 6. Akipita kando ya kenchick walahi anapunguza mwendo. 7. Akiona Mrembo ,hehe anaanza ma2si. Usichalikho khanti, tunawapentako chamaani!
Posted on: Wed, 23 Oct 2013 16:19:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015