Uhalisia: kama Zanzbar wanalalamika kwa mambo ya Tanzania Bara - TopicsExpress



          

Uhalisia: kama Zanzbar wanalalamika kwa mambo ya Tanzania Bara kufanywa na Serekali ya Muungano basi solution ni mambo ya Zanzbar yafanywe pia na serekali ya Muungano! Kama Zanzbar haichangii gharama za Muungano basi isipate huduma za Muungano! Kuunda serikali ya tatu ni kuvutwa pua na wapinga muungano! Let it be known the United Republic of Tanzania is here to stay and it has only one commander in chief. if Zanzibar wish they may opt out (match out forthwith with immediate expatriation of all Zanzibaris from the United Republic of Tanzania with immediate effect unless they meet the immigration criteria such as applying for permits while outside Tanzania).
Posted on: Tue, 12 Aug 2014 05:19:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015