Ukwel ni kwamba,ktk hospitali ye2 ya kitaifa mhimbili dar kwa cku - TopicsExpress



          

Ukwel ni kwamba,ktk hospitali ye2 ya kitaifa mhimbili dar kwa cku wanazaliwa watoto wa kike 60 na wakiume 05,kwa maana hyo kila mwanaume kwa kiwango cha chini inatakiwa aoe wake 05 kwa kila mmja,xo kwa wale wanawake mnao shindia vioo na powder ndan jiangalieni fuata malez ya wazaz achana na vitu vicvyo vya maana.Ila kwa wale wanaume wezangu tuliza akili tunayo nafac kubwa xana,Iyo ni research ya hospitali moja je kwa tanzania nzima kwa hyo research unafikiri tunatosha kwa icho kiwango cha kuzaliwa kwa wanawake?
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 12:40:58 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015