Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) - TopicsExpress



          

Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Handeni Mkoani Tanga umekihama Chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti wa Wilaya na Katibu wake pamoja na wanachama 380 ambao wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Viongozi wa CCM wamedai kadiri siku zinavyokwenda Chadema kitazidi kusambaratika kutokana na baadhi ya viongozi wake kukumbatia madaraka huku wengine wakiachwa kuwa wapiga debe Endelea kusoma zaidi => bit.ly/16Luzuh
Posted on: Thu, 26 Sep 2013 12:18:47 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015