Usicheke na kumdharau Mtu anayehangaika na maisha yake, Mungu ndio - TopicsExpress



          

Usicheke na kumdharau Mtu anayehangaika na maisha yake, Mungu ndio anayepanga Destiny ya kila Mtu na njia atakazopitia mpaka kufikia pale ambapo kaandikiwa.. Mwanzo wa kila Jambo la mafanikio ya kweli huwa ni mgumi, unaweza KUCHEKWA, WATU WAKAKU KEBEHI NA HATA KUDHARAULIKA.. Wewe usiangalie kushoto wala kulia Bali angalia MBELE.. Siku ukifanikiwa hao hao wanao KUCHEKA NA KUKUKEBEHI watabakia midomo wazi na kukuita muheshiwa, boss n.k #TLMSHOW
Posted on: Tue, 15 Oct 2013 03:08:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015