Usikose kusikiliza WACHA MASiHARA!, kipindi cha redio ambacho - TopicsExpress



          

Usikose kusikiliza WACHA MASiHARA!, kipindi cha redio ambacho hutangazwa kupitia: RADIO ONE STEREO (nchi nzima) kila Jumapili saa 12 jioni, SWEET FM (90.7 Mbeya) kila Jumapili saa 6 mchana na kurudiwa Jumatano saa 5 usiku; SIBUKA FM (94.5 Dar es Salaam, 95.4 Mwanza) kila Jumapili saa 6:30 mchana na kurudiwa saa 1 usiku; IMPACT FM (94.4 Dodoma) kila Jumapili saa 9:30 mchana na kurudiwa Alhamisi saa 8 mchana; Radio Abood FM (89.7 Morogoro) kila Jumapili saa 2:30 asubuhi na kurudiwa Jumanne saa 2:30 asubuhi; CG FM (89.5 Tabora) kila Jumapili saa 10:15 jioni na kurudiwa Jumatano saa 7:30 mchana; RADIO VISION FM (98.0 Bukoba) kila Jumapili saa 10:30 jioni na kurudiwa Alhamisi saa 3:30 usiku. WACHA MASiHARA! hudhaminiwa na Jumuiya ya Vikundi vya Biashara Ndogondogo (VIBINDO), Shirikisho la Utalii Tanzania (TCT), Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) na kufadhiliwa na Asasi ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara Tanzania – Utetezi (BEST-AC). WACHA MASiHARA! huandaliwa na kutayarishwa na HYPERMEDIA LIMITED
Posted on: Thu, 20 Jun 2013 13:33:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015