WAULIZE WANAOIJUA HIP HOP,KAMA ZAID,PRIMO,FID,ZAFARA,JE NAY WA - TopicsExpress



          

WAULIZE WANAOIJUA HIP HOP,KAMA ZAID,PRIMO,FID,ZAFARA,JE NAY WA MITEGO NI MWANA HIP HOP? I LOVE BEING HONESTLY...Hivi Nay wa Mitego asingekuwa msanii we ungependa awe nani? Kwa upande wangu mini ngechagua awe mkulima wa kahawa au mbeba magunia,cjawai kumuelewa anachofanya hata siku 1,nshajaribu kufanya but cmuelewi,kuimba ujinga ni kwamba ana akili za kitoto,hawezi kufkiria idea nyingine ya kufanya mziki wa kudumu mda mrefu au?ina maana kwamba Young Dee na Young Killer Msodoki,wana akili za aliens o?unajua mtu anafanya kitu mpaka unatabasamu! Em tuongeeni ukweli,mi najihami cogopi ngumi,karate imelala apa,asa we unaeogopa bac wewe ni kifata upepo. Na cna mana kwamba namchukia wala nini,no,na naomba nceleweke vibaya jamani,ila ni kwamba mi cjawahi kumuelewa hata nukta...Cox dawa yao,nahitaji maoni yako pia,mi bro cmuelewi yani!
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 09:04:30 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015