WAZO KUU LA LEO Musikate tamaa kutokana na neema mulizopewa na - TopicsExpress



          

WAZO KUU LA LEO Musikate tamaa kutokana na neema mulizopewa na Mungu Hakika Ardhi ni pana mno basi tembeeni kwenye Ardhi mukitafuta Riziki. KUMBUKA MUNGU ANAYOHAKI YA KUKUPA RIZKI JE? WEWE UPI WAJIBU WAKO. Ndugu zangu ni muda muafaka wa kurudi kwenye Majumba ya kufanyika ibada Hakika hizo ni nyumba za Mwenyezi Mungu, Kwani kufanya hivyo itakuwa umetekereza wajibu wako kwake. "Amani inatawala nafsi siku zote pia chuki hufitinisha na husababisha Maradhi" Sambazeni ufahamu - Spread knowledge Mpaka pembezoni mwa Bara Hili One love
Posted on: Sun, 28 Jul 2013 09:13:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015