Waacheni wanasiasa wafanye kazi yao.Kwani siasa ni kazi kama kazi - TopicsExpress



          

Waacheni wanasiasa wafanye kazi yao.Kwani siasa ni kazi kama kazi nyingine.Kwa Tanzania siasa ni zaidi ya kazi,ni zaidi ya kujitolea.Ni kujikomboa kabla ya kukomboa wengine.Ni ajira yenye pato la haraka.Jiulize tu! Tuna vyama vingapi?.Kila chama kimeajiri wangapi?.Je,wanalipwa kutushawishi ama ni kujitolea kwao kwa kuipenda saaana TZ?.Isingekuwa siasa wangefanya nini?.Hiyo ni ajira yao,pambana utoke kivyako kwani mtaji wao ni wewe wakati wewe hujui ajira yako lini.Madaktari wazuri,maprofesa,waalimu na wataalamu kibao,wameacha taaluma zao,mbio kwenye siasa! Usiniulize kunani huko,hata we wajua!
Posted on: Thu, 11 Jul 2013 22:17:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015