Wakati Benki inavamiwa Nikapiga 112 nikajibiwa "KARIBU JESHI LA - TopicsExpress



          

Wakati Benki inavamiwa Nikapiga 112 nikajibiwa "KARIBU JESHI LA POLISI TANZANIA KITENGO CHA DHARULA, For kiswahili press 1 for english press 2" Nikabonyeza 1. Sauti ikaska "kwa ajali ya barabarani au moto bonyeza 1, kwa ujambazi bonyeza 2, Nikabonyeza 2. Sauti ikaska ikisema "kama majambazi wana rungu, panga na visu bonyeza 1, pisto 2, SMG 3, AK47 bonyeza 4, Mabomu 5 na kama wanavyo vyote bonyeza 6. Nikabonyeza 6. Sauti ikaska ikisema "mmh..! Ndugu yangu ungekuwa wewe ni Polisi ungeenda kweli..??!!" Lunch Njema kwa wale mliochelewa..!
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 11:24:58 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015