Wakati benki ya Habibu Afrika inavamiwa, nikapiga 112 nikajibiwa - TopicsExpress



          

Wakati benki ya Habibu Afrika inavamiwa, nikapiga 112 nikajibiwa hivi,, KARIBU JESHI LA POLISI TANZANIA KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili press 1 for english press 2, nikabonyeza 1, sauti ikasema kwa ajali ya barabarani au moto bonyeza 1 kwa ujambazi bonyeza 2, nikabonyeza 2, sauti ikasema: Kama majambazi wana rungu, panga na visu bonyeza 1, pisto 2, SMG 3, AK 47 bonyeza 4, bomu 5, kama wanavyo vyote bonyeza 6, Nikabonyeza 6. Sauti ikasema mmh.! Ndugu yangu ungekuwa wewe ni polisi ungeenda kweli?
Posted on: Fri, 13 Sep 2013 18:36:28 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015