Waliopiga pasi za mwisho nyingi tangu mwaka 2007 katika ligi kuu - TopicsExpress



          

Waliopiga pasi za mwisho nyingi tangu mwaka 2007 katika ligi kuu ya Uingereza. 10. Antonio Valencia 34. 09. James Milner 36. 08. Ryan Giggs 37. 07. Frank Lampard 39. 06. Steven Gerrard 40. 05. Luis Nani 43. 04. Robin Van Persie 44. 03. Wayne Rooney 46. 02. Ashley Young 48. 01. Cesc Fabregas 49. Inashangaza kuona Fab alieondoka miaka mitatu iliyopita yupo juu. Cha kufurahisha ni kwamba sita kati ya kumi ni wachezaji waliopo Man United kwa sasa. KT
Posted on: Fri, 20 Sep 2013 06:09:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015