Wanawake wawili walokuwa wakifanya biashara ya ukahaba walipata - TopicsExpress



          

Wanawake wawili walokuwa wakifanya biashara ya ukahaba walipata mimba ndani ya wiki moja. Watu hao walikuwa wakiishi chumba kimoja na kulala kwenye kitanda kimoja pia. Miezi ya kujifungua ilifika na wakajifungua watoto wa kiume wakiwa na tofauti ya siku mbili. Kutokana na biashara ya ukahaba,usiku mmoja wanawake hao walirudi wakiwa wamelewa na mmoja wao akamlalia mwanae na kumuua. Alipoamka asubuhi alikuta mtoto wake amefariki na kumwangalia kahaba mwenzake ambaye mwanae alikuwa hai,basi akachukua yule mtoto alefariki na kumweka kwa mwenzake,na yeye akamchukua yule alie hai na kumuweka kwake,kisha kuanza kumnyonyesha. Mama yule mwenye mtoto hai,alipoamka alikuta maiti ya mtoto na kuanza kulia kwa uchungu,alipochunguza aligundua kuwa yule aliefariki sio mtoto wake,bali kabadilishiwa. Wakaanza kubishana na huyo aliemchukua mtoto hadi ugomvi ukawa mkubwa ndo wakaamua kwenda kwa mfalme ili akaamulie kesi. mama(halali): mfalme,sisi ni makahaba na huyu mwenzangu alimlalia mtoto wake akamuua na kisha kunibadilishia na kunipa maiti mama(asie halali): hapana,mm ndo mwenye mtoto,yeye ndo mwenye yule aliefariki mabishano yakaendelea. Mfalme akatoa maamuzi mfalme: kwakuwa kila mtu anadai mtoto ni wa kwake,basi huyu mtoto alie hai,namkata vipande viwili,kisha kila mmoja wenu nampa nusu ili nyote mridhike mama(halali): akipiga yowe,kapiga magoti chini,hapana mfalme usimuue mtoto,mpe huyu mwenzangu akae nae,mm ntapata mwingine Mungu akipenda mama(asie halali): kwa furaha,safi mfalme,usinipe mm wala yeye mkate vipande viwili! mfalme: haya,ww ulietaka mtoto akatwe vipande mtoto sio wa kwako,ni wa huyu mama mwingine!. Mama akapewa mtoto wake na kesi ikaisha. FUNZO! Wanaume, pamoja na huruma zoote walokuwa nazo mama zetu,na wanawake wengine pia,tunawalipa kwa kusema uchi wao mbele za watu? wakati mwingine unataja huo uchi mbele ya wanawake wengine? unadhani wanajisikiaje? je mama aako angekuua ukiwa mtoto(kama kwenye hii stori) hayo maneno ungeyasemaje? heshimu mwanamke! Wanawake: kutuonesha maumbile yenu(sote tulikopita) ni nn hasa kinawafanya muwe hivo? sasa tutakuheshimu vipi wakati mwenyewe hujiheshimu? mama aako akiona hivo have u ever thought how bitter n painful that is? Wadada jijali,jipende,jiheshim Kama umeipenda hii gonga like,comment chochote,twende kaazi
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 08:02:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015