Watanzania tungekuwa na akili nzri tungewaza kuunganisha nchi yetu - TopicsExpress



          

Watanzania tungekuwa na akili nzri tungewaza kuunganisha nchi yetu km ujeruman magh na mash zilivyoungana kuwa nchi moja kwa maendeleo zaid leo ujer ndyo nchi yenye chumi kubwa ulaya na duniani,sasa kwa ukosefu wa fikra MTZ eti ooh serikali tatu wp na wp iyo,mie napenda hakna cha serkali 3 au 2 iwe moja na nchi moja tu,siyo hku bendera or rais huo ndy muundano dhahiri na maendeleo makubwa yatapatikana
Posted on: Sat, 22 Jun 2013 09:27:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015