Watanzania wengi hatujui nini maana ya kuchafuka kwa amani. - TopicsExpress



          

Watanzania wengi hatujui nini maana ya kuchafuka kwa amani. Tunachukua muda mwingi kuchokonoana badala ya kufanya shughuli zenye kutunufaisha sisi na familia zetu. Wengi tunashindwa hata kulisha familia zetu kwasababu tunatumia muda mwingi kulumbana dini ya ukweli ni Ipi. Ukweli ni kwamba kama wewe ni Mkristo basi amini dini yako na heshimu wasio Wakristo...na kama wewe ni Muislam hiyo dini yako na heshimu wasio Waislamu. Tanzania si ya Wakristo pekee au Waislamu pekee...Mwenye masikio na asikie...
Posted on: Thu, 22 Aug 2013 16:22:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015