Watu bwana cjui ni aje!!!!!!!!nilikuwa nimetulia zangu kimya mara - TopicsExpress



          

Watu bwana cjui ni aje!!!!!!!!nilikuwa nimetulia zangu kimya mara hooo upeo unajitenga mara unafanya mambo yako kimyakimya. sasa c yangu jamani ah, mara wakaja watu marekani japani australia et wewe vip ungaingia hata friendfinder yan longtime xana wakaja watu na ndevu zao kutoka italy watu kutoka egypt hoo mr jeh saiha jiunge basi hata fb nikatulia na waskiliza tu mtu mmoja kutoka south akasema ah kama unaona shida bas nakutumia email yangu na passcod utumie account yangu mi nimdmyamaza tu tulii nawaangalia wanavyojiumauma jamaaa akapanda ndege huuuuuu tii katua kutoka scandnavia visiwawni huko maswali kiiibao upeo vip upeo cjui nononino nino.Alah sasa shida yote ya nini jamani mnataka nini ?mara mawingine huuuuuuuu na ndege lakeeeee tumbwi mpaka barzani katoka zake comoro nilikokuwa naendaga kufuata vibanio vya nguo kanikuta nakula zangu ubuyu wa tsh.20 yani kitambo dah upeo cjui nini mara iyo kampanya tante jamaniee hebu niacheni nitulize kichwa hiiiiiiiiii hajandoka mara yule dogo wa kimarekani c kaingia bwana na baskel lake tair kaa tobo la karavati. hei hei hei men watsup niga oyaaaaaaa umachinooo pelrka kwenu yoyo zako kipindi hicho crinton ancheza namba nane pale kati whitehouse anataka kumpasi bush kama cjasaahau lakini ckumbuki frash dah dada dek wakaja watu sita kwapamoja unanisoma yani watu sita kwapa moja wakatimba mzeeee ndwaaaaaa hawaapa jamaa lakihindi moja dogo lavna shulukani bhee taka danga batu bheeebheee mimi tuma sababi miaka tatu wewe pana onekana kabisa iko na sumbuka bana sisi tafuta wewe jua zama jua nainuka hapana pata contact hapana pata kitu no jua wap na napata ona bhebhe inakuwa namna gani...... dah ilikuwa noma xanavsasa mara titi fo tati heeeeeeee
Posted on: Mon, 04 Nov 2013 05:10:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015