Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania amesema - TopicsExpress



          

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania amesema kuwa, ugomvi wa wanasiasa katika jumuia hiyo hauwezi kuathiri shughuli za kibiashara na uchumi wa Tanzania kwa kuwa wafanyabiashara wanaangalia faida zaidi katika shughuli zao. Samuel Sitta amesema hayo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari soma zaidi>>> mussashimba.blogspot/2013/08/ugomvi-wa-wanasiasa-hautoathiri-uchumi.html#links
Posted on: Sat, 24 Aug 2013 17:01:29 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015