Waziri wa elimu Dr Kawambwa akiri dhulma zilizokua zikifaywa na - TopicsExpress



          

Waziri wa elimu Dr Kawambwa akiri dhulma zilizokua zikifaywa na balaza la mitihani kwawadau wake kwakutumia kupanga matokeo yamitihani kwakutumia grad range zisizo rasmi(chanzo ,mwananchi & thehabari-trh 31 october2013) .Maswali yakujiuliza, je, walioathiliwa na mfumo huo watasaidiwaje baada yakupoteza mali,wakati na wengine kufa?je, waliopigakelele juu ya mfumo huo niwashenzi au niserikali yenyewe?je niyupi wa kuwajibishwa juu yahili? Je walewalio wapinga waislam juu yauwovu wa balaza hawaoni sasa kuwa waislam ni wasemakeli? Au ndomana wengine walichukua likizo kwendakufanya research ilikuepuka kuwajibishwa? Eee mtanzania unaeiruhusu akiliyako kufikiri,angalia ujinga huu wa viongozi wanchi na tafakari kuchukua hatua sahihi zaidi.
Posted on: Sat, 02 Nov 2013 01:59:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015