Welcome facebook raha sana ukiwa mgeni kwenye huu - TopicsExpress



          

Welcome facebook raha sana ukiwa mgeni kwenye huu mtandao Utawaona wenyeji watu poa sana wakarimu,wacheshi,wana upendo bila kujua siri nzito za humu Kurupu kila mtu utamuona mwema sana kuliko wa mtaani kwenu Ukiwa huna bando uta unga unga mpaka upate kuingia hata dakika moja Ukishakuwa mwenyeji sasa utaanza kuyaona yaliyofichika Kama boy ushakula vibuti sana inbox kweny wall mpaka kwenye ma group kama ulikubaliwa hata romanc hujaonja zaidi ya kupigwa vizinga vya vocha Kama ndo girl xaxa ushatongozwa xana huko inbox mpaka kila sehem wale ma playboy washafanya yao na kubwagwa ushabwagwa na picha zako za LODGE wanazo kwenye simu Unapokuja kushtuka xaxa ndo unaanza kuona facebook chungu kila status unahisi inakugusa Na wewe ndo utaanza kujiona mjanja kuandika majungu na mipasho kwenye status zako NI HAYO TU HII NDO SOCIAL NETWORK WELCOOOOMEEE
Posted on: Sat, 07 Sep 2013 19:00:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015