Ziara Ya slaa Marekani Imewasha Moto Lumumba na Ikulu. Hela - TopicsExpress



          

Ziara Ya slaa Marekani Imewasha Moto Lumumba na Ikulu. Hela Inagawanywa kama Karanga Baada ya kubainika kwamba Katibu mkuu wa Chadema Dr. Wilibrod Slaa alikuwa akijitayarisha kwenda marekani, kikao maalum kilifanyika pale Lumumba iliyohafikiana kwamba Mwigulu Nchemba aende Marekani kuifunika Ziara hiyo ya dr. Slaa Kadhalika, ilihafikiwa kwamba Ikulu (usalama) imtume mtumishi wake mmoja kuhamashisha watanzania waishio Marekani wasihudhurie kikao cha Dr. Slaa na waTanzania huku ikigawa hela kwa hao waTanzania watakao hudhuria kikao cha CCM. Aliyetumwa hakuwa mwingine bali mtumishi wa Ikulu anayefahamika kwa jina la Rajab Luhwavi akisaidiwa na maofisa kadhaa kutoka ubalozini Washington D.C. Waliohudhuria kikao hicho cha CCM bila shaka waliwaona hao watumishi wa ubalozi pamoja na mtumishi wa ikulu. Hizi habari zimevuja kutoka kinywani mwa mwanadada maarufu kama Loveness Mamuya ambaye anaishi Maryland. Rajab Luhwavi alifika nyumbani kwa Loveness Mamuya, ambako ugomvi ulitokea kati yake na Mwigulu wakimgombania huyo mwanadada Loveness! Pia, chanzo chetu cha habari kimetutonya kunakutokuelewana ndani ya CCM Marekani (kutokana na kudhurumiana pesa ya mgao) hadi kupelekea kada wake maarufu, Benjamini Mwaipaja (CHADOMO), kutokuhudhuria mkutano wa mwigulu Jumapili iliyo pita. Zaidi, mwanachama mwingine alimuuliza Mwigulu kwa nini Mwenyekiti (Mzee Sebo) wa tawi ni mMarekani na katiba inasema nini kuhusu kuongozwa na mtu asiye raia; swali ambalo Mwigulu hakuweza kutoa jibu. My Take: Nashindwa kuelewa inakuwaje watumishi serikalini pamoja na ubalozi kushabikia na kuhudhuri mikutano ya CCM?. Tunamuomba Loveness Mamuya, Luhwavi, Mwigulu au Nape waje kuthibitisha hizi habari. Vinginevyo tutamwaga unga jinsi walivyokuwa wanagawa $3,000 kwa watu waliosadikiwa kuwa wanachadema ili wajiunge na CCM na kuhudhuria kikao cha CCM
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 05:45:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015