ati nanny from hell, me nakumbuka nikipata Oyundi nilikua na shida - TopicsExpress



          

ati nanny from hell, me nakumbuka nikipata Oyundi nilikua na shida ya kukeep mbochez, the nannies used to wacha jobo in less than 2weeks, I remember the last nanny that i hired to take care of oyundi almost sued me, I came home in the evening nikapata mtoto wa wenyewe (the nanny) kame faint kwa carpet, nose bleeding na hapo kando yake kuna kuna chapati roller and 3 stones na oyundi amekaa kwa kiti watchng cartoon, nikamuuliza ..Oyundi what happened to aunt melisa...? With an angry face he replied ..ni mimi nimemgonga mdomo na rungu ya chapati because alionja maziwa yangu.. sikuwahi pata mboch tena. @awagapowerpuff
Posted on: Sun, 23 Nov 2014 18:53:43 +0000

Trending Topics




backgroundcheckrecords.tripod/01/wis-criminal-records.html wis

Recently Viewed Topics




© 2015