hebu maze nisaidienia hili,kuna kademu flani nilikatokeaga kitambo - TopicsExpress



          

hebu maze nisaidienia hili,kuna kademu flani nilikatokeaga kitambo flani kakanambia ooh mm nina mtu wangu na siwezi kuwachanganya,nkamwambia poa nkasahau kabisaa basi usiku akawa anantumia meseji za mapenzi na mm namjibu. Namba yake ikaacha kupatikana na mm nkapotezeaga ikiwa ni pamoja na kufuta namba. Sasa hivi majuzi tu nashuka kwenye gari nasikia mtu ananiita ww kaka,sikugeuka kwani nilidhani wanaitana watu wengine,akanikaribia na nikamwangalia nkaona sura kama naifahamu ila sikumbuki nilimuona wapi basi nkaona bora nianzishe stori ili asionekane kujipendekeza. later on ndo nkagundua kuwa ni yule demu alinikataaga,basi nkamuomba twende wote mpaka kwangu muda huo huo nae akakubali,tukapiga stori za love na baadae nkampeleka kwao,akiwa na msimamo ule ule kuwa ana mtu wake. Sasa kila day ananitumia meseji za mapenzi,anasoma chuo kimoja Magomeni hivo ananiambia kila akitoka chuo tu mm niwe namchukua nakuja nae hadi kwangu kisha nampeleka kwao,nimeanza zoezi hilo sasa ananambia ameacha kufunga(ni muislam)kwa ajili yangu,sasa nashindwa kumuelewa kwani hata mm pia tayari nina mtu wangu! nikikalala ntakuwa namkosea baby wangu,nkikaacha ntakuwa sijakatendea haki kwani kafungua kwa ajili yangu,nikafanyeje aisee?
Posted on: Mon, 29 Jul 2013 20:16:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015