hi admin #krayz pliz hide my id na uambie mafuns leo asubuhi - TopicsExpress



          

hi admin #krayz pliz hide my id na uambie mafuns leo asubuhi nkienda dukani nilipata mzee jirani angu akiwa amesindikaza kadame karembo sana,na changu shangaza ni ati ako na yf na watoto,lakini sina uhakika ako kadame kalikua kake.lakini kulinga vle alikua anakashkanisha mi naona alikamanga saa mimi nataka niende niambie wife wake ndo ajipanga pia niko na picha nitamwonesha ndo aniamini.,sa mi nauliza kama nipoa ju myb naeza fanya ivo then ndoa ya ivunjike.na mimi najaribu kuwasaidi??? epuka ukimwi wachana na mpango wakando
Posted on: Wed, 02 Oct 2013 05:26:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015