hi admn hide ma name....naomba wadau wanihelp kwani hiki kitu - TopicsExpress



          

hi admn hide ma name....naomba wadau wanihelp kwani hiki kitu kinanitesa sana yani siku hizi nnajikuta ni mtu wa hasira hasira tu yani naweza kuambiwa neno au jambo dogo basi ntachukia kupita kiasi na ili hasira iishe huwa nalala usingz nikiamka hasira imeisha sasa muda mwingine nakuwa kazini na hakuna mda wa kulala naomba mnambie labda tatizo ni nn na hasa kwa mpenz wangu nampenda sana tena sana nae ananipenda pia lkn nikiwa ktk hali hiyo nikimuona hasira zinaongezeka zaidi....naombeni ushauri maana hii hali inanitesa sana..plz ctaki ushauri wa kijinga wala matusi plz kuweni wastaarabu
Posted on: Tue, 30 Jul 2013 19:36:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015