ivi mbona NDOA za zaman zilikuwa zkidumu sana japo kulikuwa na - TopicsExpress



          

ivi mbona NDOA za zaman zilikuwa zkidumu sana japo kulikuwa na CHANGAMOTO kbao kama vile mwanaume kujifunzia ubondia kwa mkewe (KUDUNDANA mara kwa mara) na pia wazazi kuingilia ktk kutafuta MCHUMBA wakuoa/kuolewa naye,,??? JE kuna ulazima kale kamtindo kakudundana na kuchagulia mke/mme na wazaz karudi ili iwe kama zamani??? kwan tatzo nn linalo sababisha ndoa kuwa kama SIMU ZA MCHINA (full kusaltiana) wakati m2 mwenyew bila kulazimishwa anachagua ampendae kwa dhati wakuishi naye??? M.C.H.A.N.A M.W.E.M.A
Posted on: Sun, 21 Jul 2013 10:43:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015