karibu ndani ya Red carpet...wiki jana kati ya maswala ibuka - TopicsExpress



          

karibu ndani ya Red carpet...wiki jana kati ya maswala ibuka ibuka kufuatia uvamizi wa ma baa...ni kwamba kuna nyama zisizo eleweka zinaliwa Madogo. Je, wewe kama mkazi unafanya nini ili kujilinda kutokana na nyama ambazo hazie eleweki? unajua unahatarisha maisha yako unaponunua nyama ambayo haijapimwa? Na katika mji wa Garissa, manispaa inasisitiza matatu zote zitumie stage ya magari ya manispaa. kwa nini abiria wanakataa kwenda huko na kutia madereva wa matatu majaribuni kwa kusimamisha magari njiani mahali hakna stage? Hatupendi mpangilio na sheria ama vipi?
Posted on: Wed, 14 Aug 2013 05:54:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015