kuna watu mna roho mbaya jamani yaani mnamzidi hata shetani mtoa - TopicsExpress



          

kuna watu mna roho mbaya jamani yaani mnamzidi hata shetani mtoa roho. Wewe mtu ulimwacha mwenyewe kwa vijisababu kibao mara mfupi,hajasoma,hana kazi,mnene mno, ana kovu kwenye paja,familia yao kuna vilema,hana mvuto, ukamwacha mtoto wa watu anahangaika na jeraha la kuuguza moyo wake mungu si athuman kamsaidia kapona na kampa mtu wa kumsahaulisha kuhusu wewe umeanza kuona hana maumivu tena unaanza mbwembwe kumharibia ina maana yale uliyoyaona mwanzo yamebadilika? Au kawa mrefu na msomi na vitu vingine mwache na yeye afurahi jaman wewe kaendelee tu na zile size zako usimfanye hata akuwazie kwa kujipitisha pitisha kama kijana anaesaka binti kwenye eneo flan ili mrado wajue upo tuliaaaa duh nimeaandika kama nalipwa usiku mwema
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 15:46:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015