kuna watu wengine hapa wanajifanya na ata hawajui ocha kwao ni - TopicsExpress



          

kuna watu wengine hapa wanajifanya na ata hawajui ocha kwao ni wapi..wanaskianga tu maparo wakitaja jina ya ocha, wololo what a shame... ata chief wa area yao hajui... ugali ya red wanaskianga tu ikitajwa kwa story yaani hawajawaiiona... wengine nao wanaringa eti hawawezi kukula omena eti inawangalia lol.. sasa to make the matter worse hawajui ata lugha yao eti wanajidai na sheng nkt.. kama unajua ocha kenyu ebu taja district yenu tuone
Posted on: Sun, 15 Sep 2013 12:12:39 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015