lakini mi hushangaa na watu wengine hapa fb... yaani mtu anashinda - TopicsExpress



          

lakini mi hushangaa na watu wengine hapa fb... yaani mtu anashinda fb kutoka morning hadi malate hours na unapata; ~haja update status yoyote ~haja like ama kucomment kwa status yoyote ~haja post photo yoyote ~ukiminbox hakureply ~haja like page yoyote kama hii yangu so mi hushindwa mtu kama huyu huduu nini fb ama job yake ni kutafuta mchumba fb??ebu niambieni huyu mtu huduu nini fb? . . . . #Deh
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 12:36:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015