leo tuongeleeni kuhusu *BLIND DATES* madze ni blind date gani - TopicsExpress



          

leo tuongeleeni kuhusu *BLIND DATES* madze ni blind date gani ushaienda na dame ama chali ukaibika mimi nilihappen kwenda blind date walae yule dame nilipatana na yeye akianani uyo dame mi sikuamini, huyu ni ule dame kabla tuonane kwa simu alikuwa ananiongelesha eo sauti inafanya tarimbo ijikunje kama spinal cord ya panya sasa kupatana na dame nilikuwa shocked vile uyo dame alikuwaga ananichocha ni brown skin na figure 8 walai nilipata dame anakaa mugabe alafu akona figure 1..08 ,walai hapo ndo nilijua blind date ni mbaya na tena upande wa kukula alikula hadi waiter akaniuliza kwani huyo dame akona tumbo la fisi madze niliaibika alafu alikuwa amevaa highheels tena sasa akuwa anajua kutembea nazo alikuwa anatembea kama kangaroo inadance taarab blind date ni mbaya #Mabhangi_Mistari [[weedicon]]
Posted on: Sun, 14 Jul 2013 14:01:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015