mama alijaliwa watoto wawili mmoja yuko secondary school form 3 na - TopicsExpress



          

mama alijaliwa watoto wawili mmoja yuko secondary school form 3 na mwengine yuko class 1 na huyu mama anapata hela kwa njia ya ukahaba kwa sababu bwanake alifariki na yeye ndiye tegemeo pale nyumbani hivi majuzi kijana wake mkubwa alimzushia mamake alipokuja na mteja wake pale nyumbani na kuingia naye bedroom na kijana kwa kutovumilia yale mamake anafanya akamfanyia mamake fujo na mamake akatoka nje akiwa nusu uchi akiapa kuwa hatawacha kazi hiyo ya ukahaba.......kwa mtazamo wako unaona hatua aliyochukua yule kijana ni sawa ama si sawa na kwanini?
Posted on: Tue, 25 Jun 2013 11:26:05 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015