mwalim mmoja aliamua kuwapa wanafunzi . maswali wao waandike - TopicsExpress



          

mwalim mmoja aliamua kuwapa wanafunzi . maswali wao waandike majibu katika karatasi za mtihani. mwalim akauliza ni chakula gani mnapenda wanafunzi wangu wanafunzi wa kike wengi wakaandika. pizza. burge. chines rise. chiken tiker mwalim akauliza tayari wakajibu ndio akasema haya kesho. kila mtu atapika chakula akipendacho walioandika wasivyovijua. kuvipika wote. wakafuta. huku muda ukiwa umekeisha
Posted on: Sun, 11 Aug 2013 14:37:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015