sion ajabu watanzania kutengwa kwenye shirikisho la afrika - TopicsExpress



          

sion ajabu watanzania kutengwa kwenye shirikisho la afrika mashariki maana wenzetu wanahitaji maendeleo kwa speed ya ajabu, wkt viongozi wa tanzania wanacho kijua ni ahadi za kijinga mara serikar iko kwenye mchakato mara serikar inajipanga, tafuten njia ya kwenda sambamba na wenzenu. kwanza mungu angenyoosha mkono nchi ishikwe na magufuri kama rais mwakyembe kama wazir mkuu, mbowe na wengineo wajipange vizur nchi itanyooka. wabunge baadhi wanacho jua ni kucnzia tu na kuunga mkono vitu wasivyo vijua harafu mnashangaa kutengwa. bora watoe taraka mapema ili tujipange upya. suti tu bungen na mabishano yasio na kichwa wala miguu, wkt nchi inateketea. pumbavu kabisa.
Posted on: Fri, 01 Nov 2013 15:57:40 +0000

© 2015