stori ya wengi eti ni kizazi kipya talk ya tongue ni ya hapa - TopicsExpress



          

stori ya wengi eti ni kizazi kipya talk ya tongue ni ya hapa duniani,najitenga nao leo nikuulize niaje uko mbinguni,mola niguide xiku hizi drama zaja kila saa c uxiku c mchana 24/7 tuna mitiani,new wolrd order new technology uckubali yaeza tumeza na cjawai mind kukaa gizani,ka ni kifo mola nichukue leo leo kwako kusafi nifike nikiwa salama salmni,xtori na #materialistic #fame..c-iitaji afadhali nije mkono mtupu lakini niwe msafi mbele zako nipate nafasi unakoishi paradiso uko kwenye amani,maisha bila mwisho no #hustle no #clads no#castles cubin#no #benz no buggati#no #hots chics no#compe no#fashion @letter 2 ma dear #lord
Posted on: Sun, 17 Nov 2013 23:48:58 +0000

Trending Topics




© 2015