unakumbuka ukifanya exam Math alafu: *watu wanatoa ruler but - TopicsExpress



          

unakumbuka ukifanya exam Math alafu: *watu wanatoa ruler but wewe huoni place ina apply *watu wanaitisha extra paper nawewe umemaliza na paper haijafika halfway. *umepewa graph paper na unarudisha kama hujaitumia *watu wanachora diagrams na pencil ,wewe hujui nini inachorwa but pia unatoa pencil ndio uache kushtuka. *mnaulizwa nani amemaliza, unaamka unajipata uko solo, unafil aibu hadi unaketi "Ramadhan mubarak nd jumuah blesd 2 u nd ur family inshaalah"
Posted on: Fri, 12 Jul 2013 08:39:17 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015