unakumbuka ukifanya exam Math alafu: *watu wanatoa ruler but wewe - TopicsExpress



          

unakumbuka ukifanya exam Math alafu: *watu wanatoa ruler but wewe huoni place ina apply *watu wanaitisha extra paper nawewe umemaliza na paper haijafika halfway. *umepewa graph paper na unarudisha kama hujaitumia *watu wanachora diagrams na pencil ,wewe hujui nini inachorwa but pia unatoa pencil ndio uache kushtuka. *mnaulizwa nani amemaliza, unaamka unajipata uko solo, unafil aibu hadi unaketi ## hit like and comment,
Posted on: Sat, 13 Jul 2013 07:08:12 +0000

© 2015