unakumbuka??? zile time ukiwa forth. kuna place pale kwa kona ya - TopicsExpress



          

unakumbuka??? zile time ukiwa forth. kuna place pale kwa kona ya black board kulikua na _____ days to go. izo days zilikua zinakimbia walai. unakuja morming unakuta ishaandikwa 20 days to go. hiyo time huna hata clue moles ama matrix inafanywaje sema kupanic. sahi hiyo ndo kuna fala flani hata hana mbrrrrriiicha. kwanza anadai , nkt hizi siku hazisongi... nikikumbuka mi hucheka yangu yote. join Maujinga Nilifanya HIGH School with principal Madebe kama wakumbuka any.
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 09:28:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015