wasambaa wamesambaa twende mdumange/ mapishi pwani kisiwani - TopicsExpress



          

wasambaa wamesambaa twende mdumange/ mapishi pwani kisiwani twende tumange/ Makuruta akina mura pale mguu pande/ kiboroloni gulioni shimboni mange/ hii ni history making ni kuacha majina/ mzee nguruma bibi titi sista carolina/ hii sindimba msondo ngoma nini barelina/ vuka bara tuko R tunapanga vina/ piga para suka nywele ama paka hina/ kiafrika namwagika wala hofu sina/ tuna move hii ni proof movie ya sarafina/ iko wise ni watu white ni wezi/ black is deaf beautifully crazy,/ chuga to mtwara, masai mara/ makonde vinyago, unyago si tohara/ counter si sonara, GMF FAP Jina ni AR #2404
Posted on: Thu, 12 Sep 2013 15:11:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015