will be updating u on what goes on in all the shows i do zote za - TopicsExpress



          

will be updating u on what goes on in all the shows i do zote za ndani na nje..kwani nimepata simu kadhaa zinazohusiana na mambo ya kuchukua picha na sinema ya yote nayofanya kwenye gigs..ntawaahidi documentaries fupifupi hapa na pale pamoja na picha za show kuanzia ijumaa hii(friday)kupitia denzel denys films...singependa kukuwa nje ya maelewano na mashabiki kwani ni nyinyi ndio mwanipa motisha kamili yakutia fora katika hii industry.asaanteni nyote..albamu nayo yaja..media pia naipigania sana.GOD BLESS.
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 08:55:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015